Mathayo 1:11
wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Josias begat Jechonias and his brethren, about the time they were carried away to Babylon:
In Context
10Hezekia akamzaa Manase, 2 Manase akamzaa Amoni, 2 Amoni akamzaa Yosia, 2
12Baada ya uhamisho wa Babeli: 2 Yekonia alimzaa Shealtieli, 2 Shealtieli akamzaa Zerubabeli, 2
Cross References
2 Kings 25:11Nebuzaradani jemadari wa askari walinzi akawapeleka uhamishoni watu waliokuwa wamebaki katika mji, pamoja na mabaki ya watu wa kawaida, na wale waliojisalimisha kwa mfalme wa Babeli.
2 Chronicles 36:1Watu wa nchi wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia na kumfanya mfalme mahali pa baba yake huko Yerusalemu.
2 Chronicles 36:20Wale watu walionusurika kuuawa kwa upanga wakachukuliwa kwenda uhamishoni Babeli. Nao wakawa watumishi wake na wa wanawe mpaka wakati wa utawala wa ufalme wa Uajemi ulifika.
Jeremiah 27:20ambavyo Nebukadneza mfalme wa Babeli hakuvichukua wakati alipomchukua Yekonia + 27:20 Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini. mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda kwenda uhamishoni huko Babeli kutoka Yerusalemu, pamoja na wakuu wote wa Yuda na Yerusalemu.
Jeremiah 52:11Kisha akayangʼoa macho ya Sedekia, akamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli, alipomweka gerezani mpaka siku ya kifo chake.
Daniel 1:2Bwana akamtia Yehoyakimu mfalme wa Yuda mkononi mwa Nebukadneza, pamoja na baadhi ya vyombo kutoka Hekalu la Mungu. Hivi akavichukua hadi kwenye hekalu la mungu wake huko Shinari, naye akaviweka nyumbani ya hazina ya mungu wake.