The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 1 › Mathayo 1:12

Mathayo 1:12

Baada ya uhamisho wa Babeli: 2 Yekonia alimzaa Shealtieli, 2 Shealtieli akamzaa Zerubabeli, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And after they were brought to Babylon, Jechonias begat Salathiel; and Salathiel begat Zorobabel;

In Context

11wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake. 1

13Zerubabeli akamzaa Abiudi, 2 Abiudi akamzaa Eliakimu, 2 Eliakimu akamzaa Azori, 2

Read all of Mathayo 1

Cross References

1 Chronicles 3:17Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka: 2 Shealtieli mwanawe,

Ezra 3:2Yeshua mwana wa Yosadaki na makuhani wenzake, Zerubabeli mwana wa Shealtieli pamoja na wenzake walianza kujenga madhabahu ya Mungu wa Israeli ili kumtolea dhabihu za sadaka za kuteketezwa kwa moto juu yake, kulingana na ilivyoandikwa katika Sheria ya Mose mtu wa Mungu.

Nehemiah 12:1Hawa wafuatao walikuwa makuhani na Walawi ambao walirudi na Zerubabeli mwana wa Shealtieli pamoja na Yeshua: 1 Seraya, Yeremia, Ezra, 1

Jeremiah 22:28Je, huyu mtu Yekonia ni chungu kilichodharauliwa, 2 chungu kilichovunjika, 2 chombo kisichotakiwa na mtu yeyote? 1 Kwa nini yeye na watoto wake watupwe nje kwa nguvu, 2 na kutupwa kwenye nchi wasioijua? 1

Haggai 1:12Kisha Zerubabeli mwana wa Shealtieli, Yoshua kuhani mkuu mwana wa Yehosadaki, pamoja na mabaki yote ya watu wakaitii sauti ya Bwana Mungu wao pamoja na ujumbe wa nabii Hagai, kwa sababu alikuwa ametumwa na Bwana Mungu wao. Watu walimwogopa Bwana.

Haggai 2:2“Sema na Zerubabeli mwana wa Shealtieli, mtawala wa Yuda, kuhani mkuu Yoshua mwana wa Yehosadaki, na mabaki ya watu. Uwaulize,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 1:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 1:11Mathayo 1Mathayo 1:13 →