The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 1 › Matthew 1:3

Matthew 1:3

Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari, 2 Peresi akamzaa Hesroni, 2 Hesroni akamzaa Aramu, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Judas begat Phares and Zara of Thamar; and Phares begat Esrom; and Esrom begat Aram;

In Context

2Abrahamu akamzaa Isaki, 2 Isaki akamzaa Yakobo, 2 Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake, 2

4Aramu akamzaa Aminadabu, 2 Aminadabu akamzaa Nashoni, 2 Nashoni akamzaa Salmoni, 2

Read all of Matthew 1

Cross References

Genesis 38:11Kisha Yuda akamwambia Tamari mkwewe, “Ishi kama mjane nyumbani mwa baba yako mpaka mwanangu Shela atakapokua.” Kwa maana alifikiri, “Angeweza kufa pia kama ndugu zake.” Kwa hiyo Tamari alikwenda kuishi nyumbani kwa baba yake.

Genesis 38:29Lakini alipourudisha mkono wake ndugu yake akaanza kutoka, naye akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi.

Numbers 26:20Wazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela; 1 kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi; 1 kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera. 1

1 Chronicles 2:1Hawa ndio waliokuwa wana wa Israeli: 2 Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zabuloni,

1 Chronicles 9:6Kwa wana wa Zera: 2 Yeueli. 2 Watu wa Yuda jumla yao walikuwa watu 690. 2 Jamaa Za Benyamini 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 1:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 1:2Matthew 1Matthew 1:4 →