The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 1 › Matthew 1:6

Matthew 1:6

Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. 1 Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria. 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Jesse begat David the king; and David the king begat Solomon of her that had been the wife of Urias;

In Context

5Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu, 2 Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu, 2 Obedi akamzaa Yese, 2

7Solomoni akamzaa Rehoboamu, 2 Rehoboamu akamzaa Abiya, 2 Abiya akamzaa Asa, 2

Read all of Matthew 1

Cross References

1 Samuel 16:1Bwana akamwambia Samweli, “Utamlilia Sauli mpaka lini, maadamu nimemkataa asiendelee kuwa mfalme juu ya Israeli? Jaza pembe yako mafuta, ushike njia uende; ninakutuma kwa Yese huko Bethlehemu. Nimemchagua mmoja wa wanawe kuwa mfalme.”

1 Samuel 17:12Basi Daudi alikuwa mwana wa Mwefrathi jina lake Yese aliyekuwa ametoka Bethlehemu ya Yuda. Yese alikuwa na wana wanane, naye wakati wa Sauli alikuwa mzee tena wa umri mkubwa.

1 Samuel 20:30Hasira ya Sauli ikawaka dhidi ya Yonathani na kumwambia, “Wewe mwana wa mwanamke mkaidi na mwasi! Je, sijui kuwa umekuwa upande wa mwana wa Yese kwa aibu yako mwenyewe na kwa aibu ya mama yako aliyekuzaa?

2 Samuel 11:3naye Daudi akatuma mtu mmoja kuuliza habari za huyo mwanamke. Huyo mtu akamwambia Daudi, “Je, huyu si Bathsheba binti Eliamu, naye ni mke wa Uria, Mhiti?”

2 Samuel 12:24Ndipo Daudi akamfariji Bathsheba mkewe, akaingia kwake akakutana naye kimwili. Akazaa mwana, wakamwita jina lake Solomoni. Bwana alimpenda Solomoni.

2 Samuel 23:39na Uria, Mhiti. 1 Jumla yao wote walikuwa watu thelathini na saba.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 1:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 1:5Matthew 1Matthew 1:7 →