Mathayo 10:12
Mkiingia kwenye nyumba, itakieni amani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when ye come into an house, salute it.
In Context
13Kama nyumba hiyo inastahili, amani yenu na iwe juu yake. La sivyo, amani yenu na iwarudie ninyi.
Cross References
1 Samuel 25:6Mwambieni: ‘Amani iwe kwako! Amani iwe kwako pamoja na wa nyumbani mwako! Pia amani iwe pamoja na vyote ulivyo navyo!
Acts 10:36Ninyi mnajua ule ujumbe uliotumwa kwa Israeli, ukitangaza habari njema za amani kwa Yesu Kristo. Yeye ni Bwana wa wote.
3 John 1:14Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana.