The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 10 › Matthew 10:33

Matthew 10:33

Lakini yeyote atakayenikana mimi mbele ya watu, mimi nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.” 1 Sikuleta Amani, Bali Upanga (Luka 12:51-53; 14:26-27)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But whosoever shall deny me before men, him will I also deny before my Father which is in heaven.

In Context

32“Kila mtu atakayenikiri mbele ya watu, mimi nami nitamkiri yeye mbele za Baba yangu aliye mbinguni.

34“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.

Read all of Matthew 10

Cross References

Matthew 26:70Lakini Petro akakana mbele yao wote akisema, “Sijui hilo usemalo.”

Mark 14:30Yesu akamwambia, “Amin, nakuambia; leo, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, wewe mwenyewe utanikana mara tatu.”

Luke 9:26Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu atakapokuja katika utukufu wake na katika utukufu wa Baba, pamoja na malaika watakatifu.

Luke 22:57Lakini Petro akakana, akasema, “Ewe mwanamke, hata simjui!”

2 Peter 2:1Lakini pia waliinuka manabii wa uongo miongoni mwa watu, kama vile watakavyokuwako walimu wa uongo miongoni mwenu. Wataingiza mafundisho yasiyopatana na kweli kwa siri, hata kumkana Bwana wa pekee aliyewanunua, na hivyo kujiletea wenyewe maangamizi ya haraka.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 10:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 10:32Matthew 10Matthew 10:34 →