Mathayo 10:35
Kwa maana nimekuja kumfitini 1 “ ‘mtu na babaye, 2 binti na mamaye, 1 mkwe na mama mkwe wake; 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga.
36nao adui za mtu watakuwa 2 ni wale watu wa nyumbani kwake.’
Cross References
Micah 7:5Usimtumaini jirani; 2 usiweke matumaini kwa rafiki. 1 Hata kwa yule alalaye kifuani mwako 2 uwe mwangalifu kwa maneno yako. 1
Matthew 24:10Wakati huo, wengi wataacha imani yao, nao watasalitiana kila mmoja na mwenzake na kuchukiana.
Luke 21:16Mtasalitiwa hata na wazazi, ndugu, jamaa na marafiki, na baadhi yenu watawaua.