Mathayo 10:36
nao adui za mtu watakuwa 2 ni wale watu wa nyumbani kwake.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And a man’s foes shall be they of his own household.
In Context
35Kwa maana nimekuja kumfitini 1 “ ‘mtu na babaye, 2 binti na mamaye, 1 mkwe na mama mkwe wake; 2
Cross References
Genesis 4:8Basi Kaini akamwambia ndugu yake Abeli, “Twende shambani.” Walipokuwa shambani, Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua.
1 Samuel 17:28Eliabu nduguye mkubwa Daudi alipomsikia akizungumza na watu hasira ikawaka juu yake akamuuliza, “Kwa nini umeteremka kuja hapa? Nao wale kondoo wachache kule nyikani umewaacha na nani? Ninajua jinsi ulivyo na kiburi na jinsi moyo wako ulivyo mwovu; umekuja hapa kutazama vita tu.”
Job 19:13“Amewatenga ndugu zangu mbali nami; 2 wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa. 1
Psalms 55:13Kumbe ni wewe, mwenzangu, 2 mshiriki na rafiki yangu wa karibu, 1
Jeremiah 20:10Ninasikia minongʼono mingi, 2 “Hofu iko pande zote! 2 Mshtakini! Twendeni tumshtaki!” 1 Rafiki zangu wote wananisubiri niteleze, 2 wakisema, 1 “Labda atadanganyika; 2 kisha tutamshinda 2 na kulipiza kisasi juu yake.” 1
John 13:8Petro akamwambia, “La, wewe hutaninawisha miguu kamwe.” Yesu akamjibu, “Kama nisipokunawisha, wewe huna sehemu nami.”