Mathayo 11:19
Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, nao wanasema, ‘Tazameni huyu mlafi na mlevi, rafiki wa watoza ushuru na “wenye dhambi.” ’ Lakini hekima huthibitishwa kuwa kweli kwa matendo yake.” 1 Onyo Kwa Miji Isiyotubu (Luka 10:13-15)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Kwa maana Yohana Mbatizaji alikuja, alikuwa hali wala hanywi, nao wanasema, ‘Yeye ana pepo mchafu.’
Cross References
Psalms 92:5Ee Bwana, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako, 2 tazama jinsi yalivyo ya kina mawazo yako! 1
Proverbs 17:24Mtu wa ufahamu huitazama hekima, 2 lakini macho ya mpumbavu huhangaika 2 hadi kwenye miisho ya dunia. 1
Luke 5:29Kisha Lawi akamfanyia Yesu karamu kubwa nyumbani kwake, nao umati mkubwa wa watoza ushuru na watu wengine walikuwa wakila pamoja nao.
Luke 7:34Mwana wa Adamu alikuja akila na kunywa, nanyi mnasema: ‘Tazameni huyu mlafi na mlevi, rafiki wa watoza ushuru na “wenye dhambi.” ’
Luke 15:1Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Yesu.
John 2:2Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa arusini pia.