Matthew 11:20
Ndipo Yesu akaanza kushutumu miji ambamo alifanya miujiza yake mingi kuliko kwingine, kwa maana watu wake hawakutubu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 1:2Sikieni, enyi mbingu! Sikilizeni, enyi dunia! 2 Kwa maana Bwana amesema: 1 “Nimewalisha watoto na kuwalea, 2 lakini wameniasi mimi. 1
Micah 6:1Sikiliza asemalo Bwana: 1 “Simama, tetea shauri lako mbele ya milima; 2 vilima na visikie lile unalotaka kusema. 1
Matthew 21:28“Lakini mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na wana wawili. Akamwendea yule wa kwanza akamwambia, ‘Mwanangu, nenda ukafanye kazi kwenye shamba la mizabibu leo.’
Mark 16:14Baadaye Yesu akawatokea wale wanafunzi kumi na mmoja walipokuwa wakila chakula. Akawakemea kwa kutoamini kwao na kwa ugumu wa mioyo yao kwa kutosadiki wale waliomwona baada yake kufufuka.
Acts 17:20Wewe unaleta mambo mapya masikioni mwetu, hivyo tungetaka kujua maana yake ni nini.”
James 1:5Kama mtu yeyote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima na amwombe Mungu, yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo, naye atapewa.