Luka 6:11
Wale wakuu wakakasirika sana, wakashauriana wao kwa wao ni nini watakachomtendea Yesu. 1 Yesu Achagua Mitume Kumi Na Wawili (Mathayo 10:1-4; Marko 3:13-19)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they were filled with madness; and communed one with another what they might do to Jesus.
In Context
12Ikawa katika siku hizo Yesu alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
Cross References
Psalms 2:1Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, 2 na kabila za watu kula njama bure? 1
Matthew 12:14Lakini Mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri baya juu ya Yesu jinsi watakavyoweza kumuua. 1 Mtumishi Aliyechaguliwa Na Mungu
Luke 4:28Watu wote katika sinagogi waliposikia maneno haya, wakakasirika sana.
John 11:47Kwa hiyo viongozi wa makuhani na Mafarisayo wakaita mkutano wa baraza. Wakaulizana, “Tufanyeje? Huyu mtu anafanya ishara nyingi.
Acts 4:19Lakini Petro na Yohana wakajibu, “Amueni ninyi wenyewe iwapo ni haki mbele za Mungu kuwatii ninyi kuliko kumtii Mungu.
Acts 7:54Waliposikia haya wakaghadhibika, wakamsagia meno.