The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 12 › Matthew 12:20

Matthew 12:20

Mwanzi uliopondeka hatauvunja, 2 na utambi unaofuka moshi hatauzima, 1 mpaka atakapoifanya haki ishinde. 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A bruised reed shall he not break, and smoking flax shall he not quench, till he send forth judgment unto victory.

In Context

19Hatagombana wala hatapiga kelele, 2 wala hakuna atakayesikia sauti yake njiani. 1

21Katika Jina lake mataifa 2 wataweka tumaini lao.” 1 Yesu Na Beelzebuli (Marko 3:20-30; Luka 11:14-23)

Read all of Matthew 12

Cross References

2 Kings 18:21Tazama sasa, unaitegemea Misri, fimbo ile ya mwanzi uliopasuka, ambayo huuchoma na kuujeruhi mkono wa mtu akiiegemea! Hivyo ndivyo alivyo Farao mfalme wa Misri, kwa wote wanaomtegemea.

Psalms 98:1Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 kwa maana ametenda mambo ya ajabu; 1 kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu 2 umemfanyia wokovu. 1

Isaiah 40:11Huchunga kundi lake kama mchungaji wa mifugo: 2 Hukusanya wana-kondoo katika mikono yake 1 na kuwachukua karibu na moyo wake, 2 huwaongoza taratibu wale wanyonyeshao. 1

Isaiah 57:15Kwa maana hili ndilo asemalo Aliye juu, yeye aliyeinuliwa sana, 2 yeye aishiye milele, ambaye jina lake ni Mtakatifu: 1 “Ninaishi mimi mahali palipoinuka na patakatifu, 1 lakini pia pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu 2 na mwenye roho ya unyenyekevu, 1 ili kuzihuisha roho za wanyenyekevu 2 na kuihuisha mioyo yao waliotubu. 1

Lamentations 3:31Kwa kuwa watu hawakatiliwi mbali 2 na Bwana milele. 1

Matthew 11:28“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 12:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 12:19Matthew 12Matthew 12:21 →