Matthew 12:24
Lakini Mafarisayo waliposikia jambo hili wakasema, “Mtu huyu anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli, + 12:24 Beelzebuli au Beelzebubu; pia 12:27. mkuu wa pepo wachafu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Watu wote wakashangaa na kusema, “Je, yawezekana huyu ndiye Mwana wa Daudi?”
Cross References
Matthew 9:34Lakini Mafarisayo wakasema, “Huyo anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa mkuu wa pepo wachafu.” 1 Watendakazi Ni Wachache
Luke 11:15Lakini wengine wakasema, “Anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa Beelzebuli, + 11:15 Beelzebubu au Beelzebuli; ni mkuu wa pepo wachafu; pia 18, 19. yule mkuu wa pepo wachafu wote.”