Matthew 12:25
Yesu alijua walichokuwa wakiwaza, hivyo akawaambia, “Kila ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe huangamia. Hali kadhalika kila mji au watu wa nyumba moja waliogawanyika dhidi yao wenyewe hawawezi kusimama.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 139:2Unajua ninapoketi na ninapoinuka; 2 unatambua mawazo yangu tokea mbali. 1
Isaiah 19:2“Nitamchochea Mmisri dhidi ya Mmisri, 2 ndugu atapigana dhidi ya ndugu, 2 jirani dhidi ya jirani, 2 mji dhidi ya mji, 2 ufalme dhidi ya ufalme. 1
Amos 4:13Yeye ambaye hufanya milima, anaumba upepo, 2 na kufunua mawazo yake kwa mwanadamu, 1 yeye ageuzaye asubuhi kuwa giza, 2 na kukanyaga mahali pa juu pa nchi: 2 Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.
Mark 2:8Mara moja Yesu akatambua rohoni mwake kile walichokuwa wanawaza mioyoni mwao, naye akawaambia, “Kwa nini mnawaza hivyo mioyoni mwenu?
Luke 11:17Yesu akajua mawazo yao, naye akawaambia, “Kila ufalme ukigawanyika dhidi yake wenyewe huangamia. Nayo nyumba iliyogawanyika dhidi yake yenyewe itaanguka.
John 21:17Kwa mara ya tatu Yesu akamuuliza Petro, “Simoni mwana wa Yohana, unanipenda?” Petro akahuzunika sana kwa kuwa Yesu alimuuliza mara ya tatu, “Unanipenda?” Akamjibu, “Bwana, wewe unajua yote, unajua ya kuwa ninakupenda.” Yesu akamwambia, “Lisha kondoo wangu.