bible.software › Matthew › Matthew 12 › Matthew 12:9
Matthew 12:9
Yesu akaondoka mahali hapo, akaingia ndani ya sinagogi lao,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he was departed thence, he went into their synagogue:
In Context
8kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” 1 Yesu Anamponya Mtu Aliyepooza Mkono (Marko 3:1-6; Luka 6:6-11)
10na huko alikuwepo mtu aliyepooza mkono. Wakitafuta sababu ya kumshtaki Yesu, wakamuuliza, “Je, ni halali kuponya siku ya Sabato?”
Read all of Matthew 12
Cross References
Luke 6:6Ikawa siku nyingine ya Sabato, Yesu aliingia ndani ya sinagogi na akawa anafundisha. Huko palikuwa na mtu ambaye mkono wake wa kuume ulikuwa umepooza.
This Verse In Other Editions
Study Matthew 12:9