The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 12 › Matthew 12:8

Matthew 12:8

kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” 1 Yesu Anamponya Mtu Aliyepooza Mkono (Marko 3:1-6; Luka 6:6-11)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the Son of man is Lord even of the sabbath day.

In Context

7Kama mngekuwa mmejua maana ya maneno haya, ‘Nataka rehema, wala si dhabihu,’ msingewalaumu watu wasio na hatia,

9Yesu akaondoka mahali hapo, akaingia ndani ya sinagogi lao,

Read all of Matthew 12

Cross References

Matthew 8:20Naye Yesu akamjibu, “Mbweha wana mapango, nao ndege wa angani wana viota, lakini Mwana wa Adamu hana mahali pa kulaza kichwa chake.”

Mark 2:28Hivyo, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.”

Luke 6:5Yesu akawaambia, “Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa Sabato.” 1 Mtu Aliyepooza Mkono Aponywa (Mathayo 12:9-14; Marko 3:1-6)

1 Corinthians 9:21Kwa watu wasio na sheria nilikuwa kama asiye na sheria (ingawa siko huru mbali na sheria ya Mungu, bali niko chini ya sheria ya Kristo), ili niweze kuwapata wale wasio na sheria.

Revelation 1:10Katika siku ya Bwana, nilikuwa katika Roho na nikasikia sauti kubwa kama ya baragumu nyuma yangu

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 12:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 12:7Matthew 12Matthew 12:9 →