bible.software › Matthew › Matthew 13 › Matthew 13:34
Matthew 13:34
Yesu alinena mambo haya yote kwa makutano kwa mifano. Wala hakuwaambia lolote pasipo mfano.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All these things spake Jesus unto the multitude in parables; and without a parable spake he not unto them:
In Context
33Akawaambia mfano mwingine, “Ufalme wa Mbinguni unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.” 1 Sababu Ya Yesu Kutumia Mifano (Marko 4:33-34)
35Hii ilikuwa ili kutimiza lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii aliposema: 1 “Nitafungua kinywa changu niseme nao kwa mifano; 2 nitahubiri mambo yaliyofichika 2 tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.” 1 Ufafanuzi Wa Mfano Wa Magugu
Read all of Matthew 13
Cross References
Matthew 13:13Hii ndiyo sababu nasema nao kwa mifano: 1 “Ingawa wanatazama, hawaoni; 2 wanasikiliza, lakini hawasikii, wala hawaelewi.
John 16:25“Nimewaambia mambo haya kwa mafumbo. Saa yaja ambapo sitazungumza nanyi tena kwa mafumbo bali nitawaeleza waziwazi kuhusu Baba.
This Verse In Other Editions
Study Matthew 13:34