Matthew 13:35
Hii ilikuwa ili kutimiza lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii aliposema: 1 “Nitafungua kinywa changu niseme nao kwa mifano; 2 nitahubiri mambo yaliyofichika 2 tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu.” 1 Ufafanuzi Wa Mfano Wa Magugu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Yesu alinena mambo haya yote kwa makutano kwa mifano. Wala hakuwaambia lolote pasipo mfano.
Cross References
Psalms 78:2Nitafungua kinywa changu kwa mafumbo, 2 nitazungumza mambo yaliyofichika, mambo ya kale: 1
Amos 3:7Hakika Bwana Mwenyezi hatafanya neno lolote 2 bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake. 1
Matthew 21:4Haya yalitukia ili litimie lile lililonenwa na nabii, akisema: 1
Luke 10:14Lakini itakuwa rahisi zaidi kwa Tiro na Sidoni kustahimili katika siku ya hukumu, kuliko ninyi.
Acts 15:18ambayo yamejulikana tangu zamani.
1 Corinthians 2:7Sisi tunanena hekima ya Mungu ambayo ni siri, tena iliyofichika, ambayo Mungu aliikusudia kabla ya ulimwengu kuwepo, kwa ajili ya utukufu wetu.