Matthew 13:50
Nao watawatupa hao waovu katika tanuru la moto ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And shall cast them into the furnace of fire: there shall be wailing and gnashing of teeth.
In Context
51Yesu akauliza, “Je, mmeyaelewa haya yote?” Wakamjibu, “Ndiyo.”
Cross References
Matthew 8:12Lakini warithi wa Ufalme watatupwa katika giza la nje, ambako kutakuwako kilio na kusaga meno.”
Matthew 24:50Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua.
Revelation 14:10yeye pia atakunywa mvinyo wa hasira kali ya Mungu ambayo imemiminwa katika kikombe cha ghadhabu yake pasipo kuchanganywa na maji. Naye atateswa kwa moto uwakao na kiberiti mbele ya malaika watakatifu na mbele za Mwana-Kondoo.