Matthew 13:54
Alipofika mji wa kwao, akawafundisha watu katika sinagogi lao. Nao wakastaajabu, wakauliza, “Mtu huyu amepata wapi hekima hii na uwezo huu wa kufanya miujiza?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
53Yesu alipomaliza kutoa mifano hii, akaondoka.
Cross References
Psalms 40:9Nimehubiri haki katika kusanyiko kubwa, 2 sikufunga mdomo wangu, 2 Ee Bwana, kama ujuavyo. 1
Matthew 4:23Yesu akapita katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi miongoni mwa watu.
Mark 6:1Yesu akaondoka huko na kwenda mji wa kwao, akiwa amefuatana na wanafunzi wake.
John 1:11Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea.
Acts 4:13Wale viongozi na wazee walipoona ujasiri wa Petro na Yohana na kujua ya kuwa walikuwa watu wa kawaida, wasio na elimu, walishangaa sana, wakatambua kwamba hawa watu walikuwa na Yesu.
Acts 28:17Siku tatu baadaye Paulo akawaita pamoja viongozi wa Kiyahudi. Walipokwisha kukusanyika akawaambia, “Ndugu zangu, ingawa sikufanya jambo lolote dhidi ya watu wetu au dhidi ya desturi za baba zetu, lakini nilikamatwa huko Yerusalemu nikakabidhiwa kwa Warumi.