The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 13 › Matthew 13:55

Matthew 13:55

“Huyu si yule mwana wa seremala? Mama yake si yeye aitwaye Maria, nao ndugu zake si Yakobo, Yosefu, Simoni na Yuda?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Is not this the carpenter’s son? is not his mother called Mary? and his brethren, James, and Joses, and Simon, and Judas?

In Context

54Alipofika mji wa kwao, akawafundisha watu katika sinagogi lao. Nao wakastaajabu, wakauliza, “Mtu huyu amepata wapi hekima hii na uwezo huu wa kufanya miujiza?”

56Nao dada zake wote, hawako hapa pamoja nasi? Mtu huyu amepata wapi basi mambo haya yote?”

Read all of Matthew 13

Cross References

Isaiah 49:7Hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye Mkombozi na Aliye Mtakatifu wa Israeli, 1 kwake yeye aliyedharauliwa na kuchukiwa na taifa, 2 kwa mtumishi wa watawala: 1 “Wafalme watakuona na kusimama, 2 wakuu wataona na kuanguka kifudifudi, 1 kwa sababu ya Bwana, aliye mwaminifu, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, aliyekuchagua wewe.” 1 Kurejezwa Kwa Israeli

Matthew 1:18Basi Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi: Maria mama yake alikuwa ameposwa na Yosefu, lakini kabla hawajakutana kimwili, Maria alionekana kuwa na mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Matthew 27:56Miongoni mwao walikuwepo Maria Magdalene, na Maria mama yao Yakobo na Yosefu, na mama yao wana wa Zebedayo. 1 Maziko Ya Yesu (Marko 15:42-47; Luka 23:50-56; Yohana 19:38-42)

Mark 15:40Walikuwepo pia wanawake waliokuwa wakiangalia kwa mbali. Miongoni mwao walikuwepo Maria Magdalene, na Maria mama yao Yakobo mdogo na Yose, pia na Salome.

Luke 1:27kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu mmoja jina lake Yosefu wa nyumba ya Daudi. Jina la huyu mwanamwali bikira ni Maria.

Luke 3:23Yesu alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza huduma yake. Alikuwa akidhaniwa kuwa mwana wa Yosefu, 1 Yosefu alikuwa mwana wa Eli, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 13:55

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 13:54Matthew 13Matthew 13:56 →