The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 14 › Mathayo 14:11

Mathayo 14:11

Kichwa chake kikaletwa kwenye sinia, akapewa yule binti, naye akampelekea mama yake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And his head was brought in a charger, and given to the damsel: and she brought it to her mother.

In Context

10Hivyo akaagiza Yohana Mbatizaji akatwe kichwa mle gerezani.

12Wanafunzi wa Yohana wakaja na kuuchukua mwili wake kwenda kuuzika. Kisha wakaenda wakamwambia Yesu. 1 Yesu Alisha Wanaume 5,000 (Marko 6:30-44; Luka 9:10-17; Yohana 6:1-14)

Read all of Mathayo 14

Cross References

Proverbs 27:4Hasira ni ukatili na ghadhabu kali ni gharika, 2 lakini ni nani awezaye kusimama mbele ya wivu? 1

Jeremiah 22:17“Lakini macho yako na moyo wako vimeelekezwa tu 2 katika mapato ya udhalimu, 1 kwa kumwaga damu isiyo na hatia, 2 kwa uonevu na ukatili.”

Ezekiel 19:2na useme: 1 “ ‘Tazama jinsi gani mama yako alivyokuwa simba jike 2 miongoni mwa simba! 1 Alilala katikati ya wana simba 2 na kulisha watoto wake. 1

Revelation 16:6kwa kuwa walimwaga damu ya watakatifu wako 2 na manabii wako, 1 nawe umewapa damu wanywe 2 kama walivyostahili.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 14:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 14:10Mathayo 14Mathayo 14:12 →