Mathayo 14:12
Wanafunzi wa Yohana wakaja na kuuchukua mwili wake kwenda kuuzika. Kisha wakaenda wakamwambia Yesu. 1 Yesu Alisha Wanaume 5,000 (Marko 6:30-44; Luka 9:10-17; Yohana 6:1-14)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And his disciples came, and took up the body, and buried it, and went and told Jesus.
In Context
11Kichwa chake kikaletwa kwenye sinia, akapewa yule binti, naye akampelekea mama yake.
Cross References
Matthew 27:58Akamwendea Pilato ili kumwomba mwili wa Yesu. Pilato akaamuru apewe.
Acts 8:2Watu wacha Mungu wakamzika Stefano na kumwombolezea sana.