Matthew 16:17
Naye Yesu akamwambia, “Heri wewe, Simoni Bar-Yona, + 16:17 Bar-Yona ni neno la Kiaramu, maana yake ni Mwana wa Yona. kwa maana hili halikufunuliwa kwako na mwanadamu, bali na Baba yangu aliye mbinguni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 54:13Watoto wako wote watafundishwa na Bwana, 2 nayo amani ya watoto wako itakuwa kuu. 1
Matthew 11:25Wakati huo Yesu alisema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo.
Luke 10:21Wakati huo Yesu akashangilia katika Roho Mtakatifu, akasema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa hivyo ndivyo ilivyokupendeza.
John 1:42Naye akamleta kwa Yesu. Yesu akamwangalia na kusema, “Wewe ni Simoni mwana wa Yohana. Utaitwa Kefa” (ambalo limetafsiriwa Petro + 1:42 Petro kwa Kiyunani au Kefa kwa Kiaramu; maana yake ni Kipande cha mwamba.). 1 Yesu Awaita Filipo Na Nathanaeli
John 17:6“Nimelidhihirisha jina lako kwa wale ulionipa kutoka ulimwengu. Walikuwa wako, nawe ukanipa mimi, nao wamelitii neno lako.
1 Corinthians 2:9Lakini ni kama ilivyoandikwa: 1 “Hakuna jicho limepata kuona, 2 wala sikio limepata kusikia, 1 wala hayakuingia moyoni wowote, 2 yale Mungu amewaandalia 2 wale wampendao”: