Mathayo 17:22
Siku moja walipokuwa pamoja huko Galilaya, Yesu akawaambia, “Mwana wa Adamu atasalitiwa na kutiwa mikononi mwa watu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Lakini hali kama hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga.]”
Cross References
Matthew 16:28Nawaambia kweli, baadhi yenu hapa hawataonja mauti kabla ya kumwona Mwana wa Adamu akija katika Ufalme wake.”
Matthew 20:17Basi Yesu alipokuwa anapanda kwenda Yerusalemu, aliwachukua kando wale wanafunzi wake kumi na wawili na kuwaambia,
Matthew 26:16Tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Yesu. 1 Yesu Ala Pasaka Pamoja Na Wanafunzi (Marko 14:12-21; Luka 22:7-23; Yohana 13:21-30)
Mark 8:31Ndipo akaanza kuwafundisha wanafunzi wake kuwa Mwana wa Adamu lazima atapata mateso mengi na kukataliwa na wazee, viongozi wa makuhani, na walimu wa sheria, na kwamba itampasa auawe lakini baada ya siku tatu afufuke.
Mark 10:33Akasema, “Tunapanda kwenda Yerusalemu, na Mwana wa Adamu atasalitiwa kwa viongozi wa makuhani na walimu wa sheria. Wao watamhukumu kifo na kumtia mikononi mwa watu wa Mataifa,
Luke 9:44“Sikilizeni kwa makini haya nitakayowaambia sasa: Mwana wa Adamu atasalitiwa na kutiwa mikononi mwa watu.”