Mathayo 18:22
Yesu akamjibu, “Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini. 1 Mfano Wa Mtumishi Asiyesamehe
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Jesus saith unto him, I say not unto thee, Until seven times: but, Until seventy times seven.
In Context
Cross References
Isaiah 55:7Mtu mwovu na aiache njia yake, 2 na mtu mbaya na ayaache mawazo yake. 1 Yeye na amrudie Bwana, naye atamrehemu, 2 arudi kwa Mungu wetu, kwa kuwa atamsamehe bure kabisa. 1
Matthew 6:11Utupatie riziki yetu 2 ya kila siku. 1
Mark 11:25Nanyi kila msimamapo kusali, sameheni mkiwa na neno na mtu, ili naye Baba yenu aliye mbinguni awasamehe ninyi makosa yenu. [
Ephesians 4:26Mkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika,
Colossians 3:13Vumilianeni na kusameheana mtu akiwa na lalamiko lolote dhidi ya mwenzake. Sameheaneni kama vile Bwana alivyowasamehe ninyi.