bible.software › Matthew › Matthew 18 › Matthew 18:21
Matthew 18:21
Ndipo Petro akamjia Yesu na kumuuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami nimsamehe? Je, hata mara saba?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then came Peter to him, and said, Lord, how oft shall my brother sin against me, and I forgive him? till seven times?
In Context
20Kwa kuwa wanapokusanyika pamoja watu wawili au watatu kwa Jina langu, mimi niko papo hapo pamoja nao.” 1 Kusamehe
22Yesu akamjibu, “Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini. 1 Mfano Wa Mtumishi Asiyesamehe
Read all of Matthew 18
Cross References
Luke 17:3Kwa hiyo, jilindeni. “Kama ndugu yako akikukosea mwonye, naye akitubu, msamehe.
This Verse In Other Editions
Study Matthew 18:21