Matthew 18:24
Alipoanza kufanya hesabu zake, mtu mmoja aliyekuwa anadaiwa talanta + 18:24 Talanta moja ni sawa na mshahara wa kibarua wa miaka 15. 10,000, aliletwa kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he had begun to reckon, one was brought unto him, which owed him ten thousand talents.
In Context
Cross References
1 Chronicles 29:7Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000 + 29:7 Talanta 5,000 za dhahabu ni sawa na tani 190. na darkoni 10,000 + 29:7 Darkoni 10,000 za dhahabu ni sawa na kilo 84. za dhahabu, talanta 10,000 + 29:7 Talanta 10,000 za fedha ni sawa na tani 375. za fedha, talanta 18,000 + 29:7 Talanta 18,000 za shaba ni sawa na tani 675. za shaba na talanta 100,000 + 29:7 Talanta 100,000 za chuma ni sawa na tani 3,750. za chuma.
Psalms 38:4Maovu yangu yamenifunika 2 kama mzigo usiochukulika. 1
Psalms 130:3Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, 2 Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama? 1
Luke 13:4Au wale watu kumi na wanane waliokufa walipoangukiwa na mnara huko Siloamu: mnadhani wao walikuwa waovu kuliko watu wote waliokuwa wanaishi Yerusalemu?
Luke 16:7“Kisha akamuuliza wa pili, ‘Wewe deni lako ni kiasi gani?’ “Akajibu, ‘Vipimo 1,000 + 16:7 Vipimo 1,000 ni kama magunia 100. vya ngano.’ “Yule msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati yako, andika vipimo 800!’