The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 19 › Matthew 19:10

Matthew 19:10

Wanafunzi wake wakamwambia, “Kama hali ndiyo hii kati ya mume na mke, ni afadhali mtu asioe!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

His disciples say unto him, If the case of the man be so with his wife, it is not good to marry.

In Context

9Mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa sababu ya uasherati naye akaoa mke mwingine, anazini. Naye amwoaye yule mwanamke aliyeachwa pia anazini.”

11Yesu akawaambia, “Si watu wote wanaoweza kupokea neno hili, isipokuwa wale tu waliojaliwa na Mungu.

Read all of Matthew 19

Cross References

Proverbs 5:15Kunywa maji kutoka kwenye kisima chako mwenyewe, 2 maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe. 1

Proverbs 19:13Mwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye, 2 naye mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha. 1

Proverbs 21:19Ni afadhali kuishi jangwani 2 kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. 1

1 Corinthians 7:8Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe.

1 Corinthians 7:32Ningetaka msiwe na masumbufu. Mwanaume ambaye hajaoa anajishughulisha na mambo ya Bwana, jinsi ya kumpendeza Bwana.

1 Timothy 4:3Wao huwakataza watu wasioe na kuwaagiza wajiepushe na vyakula fulani, ambavyo Mungu aliviumba ili vipokewe kwa shukrani na wale wanaoamini na kuijua kweli.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 19:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 19:9Matthew 19Matthew 19:11 →