Matthew 19:2
Umati mkubwa wa watu ukamfuata, naye akawaponya huko.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And great multitudes followed him; and he healed them there.
In Context
Cross References
Matthew 9:35Yesu akazunguka katika miji yote na vijiji vyote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi.
Matthew 14:35Watu wa eneo lile walipomtambua Yesu, walipeleka habari sehemu zote za jirani. Watu wakamletea wagonjwa wao wote,
Mark 6:55Wakaenda katika vijiji vyote upesi, wakawabeba wagonjwa kwenye mikeka ili kuwapeleka mahali popote waliposikia kuwa Yesu yupo.