Matthew 19:5
naye akasema, ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Akawajibu, “Je, hamkusoma kwamba hapo mwanzo Muumba aliwaumba mwanaume na mwanamke,
Cross References
Genesis 34:3Moyo wake ukavutwa sana kwa Dina binti Yakobo, akampenda huyu msichana na akazungumza naye kwa kumbembeleza.
Deuteronomy 10:20Mche Bwana Mungu wako na umtumikie yeye. Shikamana naye kwa uthabiti na kuapa kwa jina lake.
1 Samuel 18:1Baada ya Daudi kumaliza kuongea na Sauli, roho ya Yonathani ikaambatana na roho ya Daudi, naye akampenda kama nafsi yake mwenyewe.
2 Samuel 1:26Nahuzunika kwa ajili yako, 2 Yonathani ndugu yangu, 2 kwangu ulikuwa mpendwa sana. 1 Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, 2 wa ajabu zaidi kuliko ule wa wanawake. 1
Psalms 45:10Sikiliza, ewe binti, fikiri na utege sikio: 2 Sahau watu wako na nyumba ya baba yako. 1
Mark 10:5Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.