Matthew 19:6
Hivyo si wawili tena, bali mwili mmoja. Kwa hiyo alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Wakamuuliza, “Kwa nini basi Mose aliagiza mtu kumpa mkewe hati ya talaka na kumwacha?”
Cross References
Proverbs 2:17aliyemwacha mwenzi wa ujana wake 2 na kupuuza agano alilofanya mbele ya Mungu. 1
Mark 10:9Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
1 Corinthians 7:10Kwa wale waliooana nawapa amri (si mimi ila ni Bwana): Mke asitengane na mumewe.
Hebrews 13:4Ndoa na iheshimiwe na watu wote, nayo malazi yawe safi, kwa kuwa Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati wote.