The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 19 › Matthew 19:7

Matthew 19:7

Wakamuuliza, “Kwa nini basi Mose aliagiza mtu kumpa mkewe hati ya talaka na kumwacha?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They say unto him, Why did Moses then command to give a writing of divorcement, and to put her away?

In Context

6Hivyo si wawili tena, bali mwili mmoja. Kwa hiyo alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”

8Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. Lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo.

Read all of Matthew 19

Cross References

Isaiah 50:1Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Iko wapi hati ya talaka ya mama yako 2 ambayo kwayo niliachana naye? 1 Au nimewauza ninyi kwa nani 2 miongoni mwa watu wanaonidai? 1 Kwa ajili ya dhambi zenu mliuzwa, 2 kwa sababu ya makosa, mama yenu aliachwa. 1

Malachi 2:16“Ninachukia kuachana,” asema Bwana, Mungu wa Israeli, “pia nachukia mtu anayejivika jeuri kama vazi,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. Kwa hiyo jihadharini wenyewe katika roho zenu, wala msije mkavunja uaminifu. 1 Siku Ya Hukumu

Matthew 5:31“Pia ilinenwa kwamba, ‘Mtu yeyote amwachaye mkewe sharti ampe hati ya talaka.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 19:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 19:6Matthew 19Matthew 19:8 →