Matthew 2:20
na kusema, “Ondoka, mchukue mtoto na mama yake mwende, mrudi katika nchi ya Israeli kwa sababu wale waliokuwa wanatafuta uhai wa mtoto wamekufa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Baada ya Herode kufa, malaika wa Bwana akamtokea Yosefu katika ndoto huko Misri
21Basi Yosefu, akaondoka akamchukua mtoto na mama yake wakaenda mpaka nchi ya Israeli.
Cross References
Exodus 4:19Basi Bwana alikuwa amemwambia Mose huko Midiani, “Rudi Misri kwa maana watu wote waliotaka kukuua wamekufa.”
1 Kings 11:40Solomoni akajaribu kumuua Yeroboamu, lakini Yeroboamu akakimbilia Misri, kwa Mfalme Shishaki, naye akakaa huko mpaka Solomoni alipofariki. 1 Kifo Cha Solomoni (2 Nyakati 9:29-31)
Proverbs 3:5Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote 2 wala usizitegemee akili zako mwenyewe; 1