bible.software › Matthew › Matthew 2 › Matthew 2:21
Matthew 2:21
Basi Yosefu, akaondoka akamchukua mtoto na mama yake wakaenda mpaka nchi ya Israeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he arose, and took the young child and his mother, and came into the land of Israel.
In Context
20na kusema, “Ondoka, mchukue mtoto na mama yake mwende, mrudi katika nchi ya Israeli kwa sababu wale waliokuwa wanatafuta uhai wa mtoto wamekufa.”
22Lakini aliposikia kwamba Arkelao alikuwa anatawala huko Uyahudi mahali pa Herode baba yake, aliogopa kwenda huko. Naye akiisha kuonywa katika ndoto, akaenda zake sehemu za Galilaya,
Read all of Matthew 2
Cross References
Genesis 6:22Noa akafanya kila kitu kama vile Mungu alivyomwamuru.
This Verse In Other Editions
Study Matthew 2:21