Mathayo 20:19
na kumtia mikononi mwa watu wa Mataifa ili wamdhihaki na kumpiga mijeledi na kumsulubisha msalabani. Naye atafufuliwa siku ya tatu!” 1 Ombi La Mama Yake Yakobo Na Yohana (Marko 10:35-45)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 22:7Wote wanionao hunidhihaki, 2 hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao: 1
Isaiah 26:19Lakini wafu wenu wataishi, 2 nayo miili yao itafufuka. 1 Ninyi mnaokaa katika mavumbi, 2 amkeni mkapige kelele kwa furaha. 1 Umande wenu ni kama umande wa asubuhi, 2 dunia itawazaa wafu wake. 1
Hosea 6:2Baada ya siku mbili atatufufua; 2 katika siku ya tatu atatuinua, 2 ili tuweze kuishi mbele zake. 1
Matthew 16:21Tangu wakati huo, Yesu alianza kuwaeleza wanafunzi wake kwamba hana budi kwenda Yerusalemu na kupata mateso mengi mikononi mwa wazee, viongozi wa makuhani, na walimu wa sheria, na kwamba itampasa auawe lakini siku ya tatu kufufuliwa.
Matthew 27:2Wakamfunga, wakampeleka na kumkabidhi kwa Pilato, ambaye alikuwa mtawala wa Kirumi. 1 Yuda Ajinyonga (Matendo 1:18-19)
Mark 14:65Kisha baadhi ya watu wakaanza kumtemea mate; wakamfunga kitambaa machoni, wakampiga kwa ngumi na kumwambia, “Tabiri!” Walinzi wakamchukua na kumpiga makofi. 1 Petro Amkana Yesu (Mathayo 26:69-75; Luka 22:56-62; Yohana 18:15-18, 25-27)