The Bible Software
bible.softwareMarkMark 14 › Mark 14:65

Mark 14:65

Kisha baadhi ya watu wakaanza kumtemea mate; wakamfunga kitambaa machoni, wakampiga kwa ngumi na kumwambia, “Tabiri!” Walinzi wakamchukua na kumpiga makofi. 1 Petro Amkana Yesu (Mathayo 26:69-75; Luka 22:56-62; Yohana 18:15-18, 25-27)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And some began to spit on him, and to cover his face, and to buffet him, and to say unto him, Prophesy: and the servants did strike him with the palms of their hands.

In Context

64Ninyi mmesikia hayo makufuru. Uamuzi wenu ni gani?” Wote wakamhukumu kwamba anastahili kifo.

66Petro alipokuwa bado yuko chini kwenye ua wa jumba la kifalme, tazama akaja mmoja wa watumishi wa kike wa kuhani mkuu.

Read all of Mark 14

Cross References

Esther 7:8Mara mfalme aliporudi kutoka bustani ya jumba la kifalme na kuja kwenye ukumbi wa karamu, Hamani alikuwa akijitupa juu ya kiti mahali ambapo Esta alikuwa akiegemea. Mfalme akasema kwa nguvu, “Je, atamdhalilisha malkia hata huku nyumbani akiwa pamoja nami!” Mara neno lilipotoka kinywani mwa mfalme, walifunika uso wa Hamani.

Isaiah 50:6Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao, 2 mashavu yangu wale wangʼoao ndevu zangu; 1 sikuuficha uso wangu kutokana na fedheha 2 na kutemewa mate. 1

Isaiah 53:3Alidharauliwa na kukataliwa na wanadamu, 2 mtu wa huzuni nyingi, ajuaye mateso. 1 Kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, 2 alidharauliwa, wala hatukumhesabu kuwa kitu. 1

Matthew 26:67Kisha wakamtemea mate usoni na wengine wakampiga ngumi. Wengine wakampiga makofi

Mark 15:19Wakampiga kwa fimbo ya mwanzi tena na tena kichwani na kumtemea mate. Wakapiga magoti mbele yake, wakamsujudia kwa kumdhihaki.

John 18:22Alipomaliza kusema hayo, mmoja wa askari aliyekuwa amesimama karibu naye, akampiga Yesu kofi usoni, kisha akasema, “Je, hivyo ndivyo unavyomjibu kuhani mkuu?”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 14:65

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 14:64Mark 14Mark 14:66 →