Matthew 20:32
Yesu akasimama na kuwaita, akawauliza, “Mnataka niwafanyie nini?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus stood still, and called them, and said, What will ye that I shall do unto you?
In Context
33Wakamjibu, “Bwana, tunataka kuona.”
Cross References
Ezekiel 36:37“Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mara nyingine tena nitasikia maombi ya nyumba ya Israeli na kuwatendea jambo hili: Nitawafanya watu wake kuwa wengi kama kondoo,
Acts 10:29Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lolote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?”