Matthew 20:31
Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze, lakini wao wakazidi kupaza sauti, wakisema, “Bwana, Mwana wa Daudi, tuhurumie.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
32Yesu akasimama na kuwaita, akawauliza, “Mnataka niwafanyie nini?”
Cross References
Matthew 7:7“Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.
Matthew 19:13Kisha watoto wadogo wakaletwa kwa Yesu ili aweke mikono yake juu yao na awaombee. Lakini wanafunzi wake wakawakemea wale waliowaleta.
Luke 18:1Kisha Yesu akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.
Colossians 4:2Dumuni sana katika maombi, mkikesha katika hayo pamoja na kushukuru.