Matthew 21:40
“Kwa hiyo, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyia nini hao wakulima?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When the lord therefore of the vineyard cometh, what will he do unto those husbandmen?
In Context
39Hivyo wakamchukua, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamuua.
Cross References
Luke 20:15Kwa hiyo wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamuua.” “Sasa basi yule mwenye shamba la mizabibu atawafanyia nini wapangaji hawa?