Matthew 21:39
Hivyo wakamchukua, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamuua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they caught him, and cast him out of the vineyard, and slew him.
In Context
40“Kwa hiyo, huyo mwenye shamba la mizabibu atakapokuja, atawafanyia nini hao wakulima?”
Cross References
Matthew 26:57Wale waliokuwa wamemkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa, kuhani mkuu, mahali ambapo walimu wa sheria pamoja na wazee walikuwa wamekusanyika.
Luke 22:52Kisha Yesu akawaambia wale viongozi wa makuhani, maafisa wa walinzi wa Hekalu, pamoja na wazee waliokuwa wamekuja kumkamata, “Mmekuja na panga na marungu, kana kwamba mimi ni mnyangʼanyi?
John 18:24Ndipo Anasi akampeleka Yesu kwa kuhani mkuu Kayafa, akiwa bado amefungwa. 1 Petro Amkana Yesu Tena (Mathayo 26:71-75; Marko 14:69-72; Luka 22:58-62)
Acts 3:14Ninyi mlimkataa huyo Mtakatifu na Mwenye Haki mkaomba mpewe yule muuaji.
Acts 4:25Wewe ulisema kwa Roho Mtakatifu kupitia kwa kinywa cha baba yetu Daudi, mtumishi wako, ukasema: 1 “ ‘Mbona mataifa wanaghadhibika, 2 na kabila za watu zinawaza ubatili? 1
Acts 7:52Je, kuna nabii gani ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye Haki. Nanyi sasa mmekuwa wasaliti wake na wauaji.