Matthew 21:46
Wakatafuta njia ya kumkamata, lakini wakaogopa umati wa watu, kwa kuwa watu walimwona Yesu kuwa ni nabii.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 9:7“Yeyote anayemkosoa mwenye mzaha 2 hukaribisha matukano; 1 yeyote anayekemea mtu mwovu 2 hupatwa na matusi. 1
Isaiah 29:1Ole wako, wewe Arieli, Arieli, 2 mji alimokaa Daudi! 1 Ongezeni mwaka kwa mwaka, 2 na mzunguko wa sikukuu zenu uendelee. 1
Matthew 21:26Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’ tunawaogopa hawa watu, maana wote wanamtambua Yohana kuwa ni nabii.”
Luke 7:39Yule Farisayo aliyemwalika Yesu alipoona yanayotendeka, akawaza moyoni mwake, “Kama huyu mtu angekuwa nabii, angejua kwamba ni nani anayemgusa, na kwamba yeye ni mwanamke wa namna gani, na ya kuwa huyu mwanamke ni mwenye dhambi.”
John 7:40Waliposikia maneno hayo, baadhi ya watu miongoni mwa ule umati wakasema, “Hakika huyu ndiye yule Nabii.”