Matthew 21:5
“Mwambieni Binti Sayuni, 2 ‘Tazama, mfalme wako anakuja kwako, 1 ni mnyenyekevu, naye amepanda punda, 2 juu ya mwana-punda, mtoto wa punda.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Haya yalitukia ili litimie lile lililonenwa na nabii, akisema: 1
6Wale wanafunzi wakaenda, wakafanya kama Yesu alivyokuwa amewaagiza.
Cross References
Genesis 49:10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1
Deuteronomy 17:16Hata hivyo, kamwe mfalme asijipatie hesabu kubwa ya farasi kwa ajili yake mwenyewe, au kuwafanya watu warudi Misri ili kupata farasi zaidi, kwa maana Bwana amekuambia, “Hamtairudia njia ile tena.”
Judges 12:14Naye akazaa wana arobaini na wana wa wanawe thelathini waliopanda punda sabini. Akawa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka minane.
1 Kings 1:33akawaambia: “Wachukueni watumishi wa bwana wenu pamoja nanyi na mkamkalishe mwanangu Solomoni juu ya nyumbu wangu mwenyewe mkamteremshe hadi Gihoni.
Psalms 2:6“Nimemtawaza Mfalme wangu 2 juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.” 1 Ushindi Wa Mfalme 1
Psalms 45:1Moyo wangu umesisimuliwa na jambo jema 2 ninapomsimulia mfalme mabeti yangu; 2 ulimi wangu ni kalamu ya mwandishi stadi. 1