Matthew 22:19
Nionyesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Shew me the tribute money. And they brought unto him a penny.
In Context
18Lakini Yesu, akijua makusudi yao mabaya, akawaambia, “Enyi wanafiki, kwa nini mnajaribu kunitega?
20Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?”
Cross References
Matthew 18:28“Lakini yule mtumishi alipokuwa anatoka nje, akakutana na mtumishi mwenzake aliyekuwa amemkopesha dinari + 18:28 Dinari moja ilikuwa kama mshahara wa kibarua wa siku moja. mia moja. Akamkamata, akamkaba koo akimwambia, ‘Nilipe kile ninachokudai!’
Mark 12:16Wakamletea hiyo sarafu. Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?” Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.”