Mathayo 22:20
Naye akawauliza, “Sura hii ni ya nani? Na maandishi haya ni ya nani?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he saith unto them, Whose is this image and superscription?
In Context
19Nionyesheni hiyo sarafu inayotumika kwa kulipia kodi.” Wakamletea dinari.
Cross References
Luke 20:24“Nionyesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyoko juu yake ni vya nani?”