Mathayo 22:37
Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
36“Mwalimu, ni amri ipi katika Sheria iliyo kuu kuliko zote?”
38Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.
Cross References
Deuteronomy 10:12Na sasa, ee Israeli, Bwana Mungu wako anataka nini kwako ila kumcha Bwana Mungu wako, kwenda katika njia zake, kumpenda na kumtumikia Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote,
Mark 12:29Yesu akajibu, “Amri iliyo kuu ndiyo hii: ‘Sikia ee Israeli. Bwana Mungu wetu, Bwana ndiye mmoja.
Luke 10:27Akajibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote’; tena, ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ ”
Hebrews 10:16“Hili ndilo Agano nitakalofanya nao 2 baada ya siku hizo, asema Bwana. 1 Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao, 2 na kuziandika katika nia zao.”