Waebrania 10:16
“Hili ndilo Agano nitakalofanya nao 2 baada ya siku hizo, asema Bwana. 1 Nitaziweka sheria zangu mioyoni mwao, 2 na kuziandika katika nia zao.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15Pia Roho Mtakatifu anatushuhudia kuhusu jambo hili. Kwanza anasema: 1
17Kisha aongeza kusema: 1 “Dhambi zao na kutokutii kwao 2 sitakumbuka tena.”
Cross References
Jeremiah 31:33“Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli 2 baada ya siku zile,” asema Bwana. 1 “Nitaweka sheria yangu katika nia zao, 2 na kuiandika mioyoni mwao. 1 Nitakuwa Mungu wao, 2 nao watakuwa watu wangu. 1
Hebrews 8:8Lakini Mungu aliona kosa kwa watu, naye akasema: 1 “Siku zinakuja, asema Bwana, 2 nitakapofanya agano jipya 1 na nyumba ya Israeli 2 na nyumba ya Yuda. 1