Romans 2:19
kama unatambua kuwa wewe ni kiongozi wa vipofu, na mwanga kwa wale walio gizani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And art confident that thou thyself art a guide of the blind, a light of them which are in darkness,
In Context
18kama unajua mapenzi ya Mungu na kukubali lililo bora kwa sababu umefundishwa na hiyo sheria,
20mkufunzi wa wajinga na mwalimu wa watoto wachanga, kwa kuwa una maarifa ya kweli katika hiyo sheria,
Cross References
Isaiah 5:21Ole wao walio na hekima machoni pao wenyewe, 2 na kujiona wenye akili machoni pao wenyewe. 1
Isaiah 49:9kuwaambia mateka, ‘Tokeni nje,’ 2 nao wale walio gizani, ‘Kuweni huru!’ 1 “Watajilisha kando ya barabara 2 na kupata malisho yao juu ya kila kilima kilicho kitupu. 1
Matthew 4:16watu wale waliokaa gizani 2 wameona nuru kuu; 1 nao wale walioishi katika nchi ya uvuli wa mauti, 2 nuru imewazukia.”
Matthew 6:23Lakini kama jicho lako ni ovu, mwili wako wote utajawa na giza. Kwa hiyo basi, kama nuru iliyomo ndani yako ni giza, hilo ni giza kuu namna gani! 1 Mungu Na Mali (Luka 16:13; 12:22-31)
Matthew 23:16“Ole wenu, viongozi vipofu! Ninyi mwasema, ‘Mtu akiapa kwa Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini mtu akiapa kwa dhahabu ya Hekalu, amefungwa kwa kiapo chake.’
Luke 1:79ili kuwaangazia wale waishio gizani 2 na katika uvuli wa mauti, 1 kuiongoza miguu yetu katika njia ya amani.”