bible.software › Matthew › Matthew 23 › Matthew 23:36
Matthew 23:36
Amin, nawaambia, haya yote yatakuja juu ya kizazi hiki. 1 Yesu Aililia Yerusalemu (Luka 13:34-35)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Verily I say unto you, All these things shall come upon this generation.
In Context
35Hivyo ile damu ya wenye haki wote iliyomwagwa hapa duniani, tangu damu ya Abeli, ambaye alikuwa hana hatia, hadi damu ya Zekaria mwana wa Barakia, mliyemuua kati ya patakatifu na madhabahu, itawajia juu yenu.
37“Ee Yerusalemu, Yerusalemu, uwauaye manabii na kuwapiga mawe wale waliotumwa kwako! Mara ngapi nimetamani kuwakusanya watoto wako pamoja, kama vile kuku akusanyavyo vifaranga wake chini ya mabawa yake, lakini hukutaka!
Read all of Matthew 23
Cross References
Ezekiel 12:21Neno la Bwana likanijia kusema:
Matthew 24:34Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Luke 21:32“Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
This Verse In Other Editions
Study Matthew 23:36