Matthew 24:34
Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Verily I say unto you, This generation shall not pass, till all these things be fulfilled.
In Context
33Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yote, mnatambua kwamba wakati u karibu, hata malangoni.
Cross References
Matthew 12:45Kisha huenda na kuwaleta pepo wachafu wengine saba wabaya kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo. Nayo hali ya mwisho ya yule mtu huwa ni mbaya kuliko ile ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kiovu.” 1 Mama Na Ndugu Zake Yesu (Marko 3:31-35; Luka 8:19-21)
Matthew 23:36Amin, nawaambia, haya yote yatakuja juu ya kizazi hiki. 1 Yesu Aililia Yerusalemu (Luka 13:34-35)
Luke 11:50Kwa hiyo kizazi hiki kitawajibika kwa ajili ya damu ya manabii iliyomwagwa tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu,